No Image Available

FlipIT (Swahili Version)

 Author: REPSSI  Category: Toolkit  Publisher: MIET Africa  Download
 Description:

Mahali popote Kusini na Mashariki mwa bara la Afrika ambapo shirika la REPSSI linahudumu, watoto na vijana hukutana kama vikundi au klabu za kusaidiana. Madhumuni fungamani ya shirika la REPSSI la mkakati wa kusaidia vikundi ujulikanao kama Mwongozo wa Kuwasaidia vijana ni : 1) Kuandaa mijadala ya wazi ya kuwashirikisha vijana na kutoa misaada inayolenga katika upatikanaji wa huduma ya saikolojia na jamii na ustawi iliyoboreshwa kwa ajili ya wanachama na 2) Kuwasaidia vijana waliofikia balehe kutambua haki zao kuhusu afya ya uzazi na kujamiiana .Nyenzo hii mahsusi ina madhumuni ya kuwezesha majadiliano na mafunzo na kutoa taarifa zenye manufaa katika masuala ya afya ya kujamiiana na uzazi na haki wanazostahili vijana waliofikia balehe.


 Back
Skip to content