Tunamshukuru Barbara Kaim ambaye mpangilio wa hadith zake za Shangazi Stella zimetumika kuandaa nyenzo hii. Shukrani pia kwa Cedric Niniahazwe na
georgina Caswell kwa kuipitia nyenzo hii kwa lengo la kuiboresha. Pia shukrani ziende kwa timu ya wafanyakazi wa REPSSI waliokutana Harare mwanzoni mwa
mwaka 2017 kuhakiki nyenzo hii.